ZITTO KABWE ASEMA TUMEKABIDHI NCHI KWA MALIMBUKENI NA KUTOA MENGINE YA MOYONI.

Tumekabidhi nchi Kwa washamba na malimbukeni wa madaraka. Mihimili karibu yote ya dola letu inaongozwa na malimbukeni. ' wajanja ' wanalamba miguu ya washamba ili kuishi tu. Werevu wananyamazishwa, wanaitwa si Wazalendo. Wanapangiwa mauaji. Nchi imewashinda. Anguko kubwa la uchumi laja sababu ya maamuzi ya kishamba na kukosa maarifa. Hata hivyo watabaki werevu kadhaa na watarejesha nchi yetu kwenye mstari.

Maoni