CHADEMA NI MSINGI:MH MAGERELI KATOA UJUMBE MKALI KWA WANACHADEMA TANZANIA.

 Ujumbe wa Mh Lucy Magereli kwa wanachadema.
Msilete utani. 
SAFARI YA UKOMBOZI SI NYEPESI.
Unajiitaje kamanda halafu huna msingi???
Isiwe taabu. 
Kama vipi twambie uko msingi namba ngapi, kata gani, wilaya gani.
Kama huna!!
Basi wewe bado hujajenga chama.
CHADEMA 
NI
MSINGI
Na muda ni sasa.







Maoni