DR KIFIMBO MTAALAMU WA TIBA ASILIA PATA MAFUNZO NA NYOTA ZAKE.




DR KIFIMBO MTAALAMU WA TIBA ASILIA.
Leo nazungumzia elimu ya MAFUSHO NA NYOTA ZAKE.
Kuna watu mpaka leo hawajui kuwa MAFUSHO yanasaidia nini..
Tambua kila unapojifusha MAFUSHO unajiongezea bahati.
Leo tuangalie MAFUSHO ya kila nyota
1.punda-fusho Lake ni qist.
2.ng'ombe - fusho Lake ubani mashtaka.
3.mapacha - fusho Lake ni sandarusi.
4.mashuke - fusho Lake kachuli.
5.mizani - fusho Lake ni mashtaka.
6.mshale - fusho Lake ni udi kafur.
7.mbuzi - fusho Lake ni amiatun asail.
8.nnge - fusho Lake ni qist
9.samaki - fusho Lake ni udi na kafur.
10.ndoo - fusho Lake miatun asail.
Hizo ndio baadhi ya nyota na MAFUSHO yake. Ukizingatia zitakusaidia kuvuta bahati zako.
Kwa Mawasiliano Zaidi
DR Kifimbo kwa matibabu mbalimbali,
Whatsapp 0718862654.
                 0758385326

Maoni