MBUNGE WA ROMBO ATAKA KUSKIA KAULI YA POLISI JUU YA BEN SAANANE KAFA AU YUPO WAPI?

Mh Mbunge wa Rombo Selasini jana ameweza kueleza juu ya uweledi wa jeshi la polisi kuwa chini katika utendaji kazi wao mpaka kusimamisha upelelezi mpaka dereva wa lissu kufika tuseme je?angekuwa amekufa na upelelezi nao ungekufa na ameweza kukumbushwa sakata la ben saa nane na kumpa onyo kali Igp kutoa tamko juu ya ben na kutaka watoe tamko bila hivyo wananchi wa rombo watachukua hatua kali juu ya swala hilo maana tunaona jeshi linachezea akili za watu maana wenyewe wamepewa zamana hiyo ila usimamizi ndio amna kabisa,
Wanataka kuskia kama kafa basi waweze kuweka matanga ili kuweza kutambua huyu mtu yupo mbele haki na kama yupo basi wamwachie hapo alipo ili aweze kukaa na familia yake maana baba na mama yake wanaumia sana juu ya kijana wao achana na watanzania wengi ambao pia wanaumia sana mpaka sasa.

Maoni