MH ZITTO KABWE KAWAJIBU TRA KWA KUTENGENEZA DATA ZA MAPATO NA KUTOA MFANO KWA CUBA.

Watu wanapokuwa na haraka ya kupika data husahau. Ona hata tarehe masikini wamekosea. Data hata uzipike namna gani zitajulikana tu. Kwenye Monthly Economic Review za Benki Kuu Kwa miezi Hii tutaona tu kwani huko tutajua mikopo na hati fungani zilizochukuliwa. 
Ugiriki walikuwa wanacheza na data Hivi Hivi kilichowakuta ni historia

Maoni