MBUNGE WA CHADEMA JOSHUA NASSARI AVAMIWA NA WATU WASIOJULIKANA RISASI ZARINDIMA KATIKA MAENO AMBAYO ANAISHI.
Watu wenye silaha wamevamia nyumbani kwa
Mbunge wa Arumeru Mashariki mkoani Arusha Mhe.Joshua Nassari maeneo ya
USA River, usiku wa kuamkia leo na kufyatua risasi kadhaa ambazo zimeua
mbwa waliokuwepo nyumbani hapo.
Nassari na mkewe walifanikiwa kutoroka,
kisha kuripoti tukio hilo Polisi. Kamanda wa Polisi Arumeru, amesema
wanafanya uchunguzi kubaini watu hao.
Haya ndiyo maneno ya Joshua Nassari kupitia ukurasa wake wa Twitter
Maoni
Chapisha Maoni